mfanyakazi wowote wa mtandao wa simu kitengo cha ICT

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Naomba mfanyakazi wowote wa kitengo cha ICT cha simu msaada plz
1.Cost za kuweza kuwatuma msg zipoje yaani mfano company inataka kuwa inawatumia msg wateja wake cost zao zipoje?
 
Mfanyakazi yeyote na siyo wowote. Ni PM nipe business model yako, and what u want to achieve. I will give u a good solution for bulk sms.
 
pm kwangu inasumbua
Kuna kazi nimepata so naangalia hzo bei za kuweza kutuma pia kupokea msg kama inawezekana kwa kila msg inayokuja iwe inakatwa kiasi fulan service provider apate chake na kampuni ipate chake
Cost za mwezi zinaweza kuwa sh ngapi hivi
Halafu wap naweza kupata ozeki message server 6
Ni hayo tu
 
Mfanyakazi yeyote na siyo wowote. Ni PM nipe business model yako, and what u want to achieve. I will give u a good solution for bulk sms.
Pm inasumbua mkuu

Back
Top Bottom