kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,882
UJK Stationary ya Boko Dar es salaam inatangaza nafasi ya mfanyakazi wa stationary katika Stationary yao iliyopo Boko..
Sifa za Mwombaji:
-Mwanamke/Msichana
-Umri kuanzia 18 -30
-Awe anaishi maeneo ya Boko,Bunju au Tegeta.
-Awe amesoma packages angalau nne za MS Office (Word,Publisher,Excell na Power Point)
-Awe na uzeofu kidogo wa kufanya kazi kwenye stationaries
-Awe mwaminifu..
Pamoja na Mshahara Ofisi inatoa nauli na chakula cha mchana..
Kwa maelezo zaidi nitumie PM
Ahstanteni..