Mfanyakazi wa Ranch anahitajika

Mfanyakazi wa Ranch anahitajika

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Salaam wadau...natafuta mfanyakazi katika ranchi ndogo ya mifugo, Mifugo iliyopo ni kuku, Mbuzi,Nguruwe na samaki.Ranchi ipo Morogoro mjini. Vigezo ni kama ifuatavyo:
1.Awe na umri usiozidi miaka 35
2.Awe na uzoefu wa ufugaji hasa wa kuku aina zote
3.Awe mchapakazi na msikivu
4.Awe na uwezo wa kusimamia watu
Kwayoyote mwenye kufahamu mtu kama huyu anijulishe pls kwa namba 0689900000
 
mkuu vipi kima Chako Cha mshahara ni ngapi?Naitaji ila sina uzoefu mkuu ila vigezo vingine ninavyo mkuu
 
Hebu taja kiwango cha mshahara ili tunapofikisha ujumbe kwa wahusika wawe wanajua kabisa kiasi watakachoridhia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom