Mimi na familia yangu tunahamia nchi jirani kikazi, kwamaana hiyo msichana wetu wa kazi atakuwa free, kama upo teyari nikupigje. ana umri wa miaka 21, elimu kidato cha nne na cheti cha mapishi na house keeping. MshAhara tunampa laki tatu na sabini pamoja na marupurupu mengine. kama bado unahitaji sema