ERIK
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 623
- 315
Habari ndugu zangu wa hapa jukwaani na nje ya Jukwaa....
Kwa yoyote anayeweza kunisaidia kupada mdada wa kazi naomba msaada ndugu zangu!
Awe mwaminifu sana na mwenye kujiheshimu....nipo dar es salaama maeneo ya airport, ni vyema nikipata wa kutoka mkoani an ambaye hajakaa sana hapa mjini....
atapata mahitaji yote ya muhimu kama kula, kuvaa, kulala, kutibiwa na matumizi yake yoye ya kawaida bila makato yoyote katika mshahara wake
Ataishi kama mwanafamilia, kazi zake kubwa ni kufanya usafi, kupika, na shughuli za kawaida za nyumbani......
ni na dada mwingine yeye atakuwa kama msaidiz tu maana dada niliye naye nimekaa naye zaid ya mwaka sasa naona kama anazidiwa kidogo maana kuna mtoto wa miaka 3 yupo naye,,, sasa nataka yeye a deal na mtoto sana.
asante kwa uelewa wenu sana...............
Mawasiliano:-0658644485