Mkuu ,Na he mfanyakazi anapopigwa na mwajiri wake na kuvuliwa nguo mbele za watu,hii inakaaje?Na je,iwapo alifungua kesi polisi lakini kwa hofu akaamua kuifuta hiyo kesi.Sass anaporudi kazini anatengenezewa mazingira ya mitego na kutiwa hafu.Hapo sheria inamsaidiaje MTU kama hiyo ambaye kwanza anafanya kazi kwenye mazingira magumu.Pili halo hiyo inamuathiri kisaikolojia ukizingatia ushirikiano wa kutosha haupo na pia anaishi kwa hofu?Naomba msaada mkuu.