Mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013

Bado sijaelewa maudhui ya taswira mnato hii...
 
Screen imevalishwa condom, jamaa aliambiwa kuna virusi vinashambulia kompyuta akabuni njia ya kuilinda
 
Hahahaha, Ngambo Ngali, na mie.nimeona hiyo. Jamaa anaibia tu, labda kompyuta ni ya kuuzwa.

Ila picha inaonekana ya kizamani, hizo pc si zilikataliwa kwenye geneva convention?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…