Mfanyakazi Anahitajika

Mfanyakazi Anahitajika

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua mtu huyo.
Mawasiliano ni 0763300000.Asanteni
 
tuwekee na mshahara mana wana uliza kuna shi ngapi hko na wapi shamba lilipo nahao mifugo
 
Shamba lipo Morogoro...salary 150 kuanzia.Nyumba na chakula plus medical care juu yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom