Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Apr 30, 2012 #1 Nilimsikiliza Nape jana wakati akipokea maandamano ya wanafunzai wapenzi wa Gamba kwamba Rais ndiye mfanyaji, sikujua anamaanisha nini au huenda alijifanyisha kusema vile?
Nilimsikiliza Nape jana wakati akipokea maandamano ya wanafunzai wapenzi wa Gamba kwamba Rais ndiye mfanyaji, sikujua anamaanisha nini au huenda alijifanyisha kusema vile?