radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Utafiti usio rasmi unaonyesha watu wa ukanda wa kaskazini kuanzia West Kilimanjaro, Arusha yote tambarare ya serengeti na mkoa wa Mara,
Wanahitilafu katika ku Control Temper hii inasababishwa na nyama za maeneo hayo na maji.
Kuna madini ambayo humfanya mtu kushindwa kujizuia.
![]()
Uharibifu huu huenda mpaka kwenye ubongo.
Huyu ni dogo janja nini mzee wa chai na karot akaulizwa na mwana fa karot ulikuwa una nunua bei gani kunywea chai akasema mia na maadazi yalikuwepo akajibu ndio bei gani kuanzia mia sasa kwa nini usinunue maandazi ya mia unywee chai kimya.... arusha bana naunga mkono hiyo picha