Mfanyabiashara wa Dar mwenye asili ya Somalia, Mohamed A. Nur atangaza kugombea urais Somalia

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mfanyabiashara mwenye asili ya Somalia anayeishi jijini Dar Mohamed A. Nur, atangaza kugombea Urais katika uchaguzi ujao nchini Somalia.

Bw. Mohamed A. Nur ambaye anaishi jijini Dar ambaye ni MKurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya City Garden Groups.

Bw. Mohamed mwenye umri wa miaka 45 alikuja Tanzania akiwa na familia yake mwaka 1980, muda mfupi kabla ya nchi hiyo kuingia kwenye machafuko.

Guurguurte0.png
 
View attachment 352107

huyu baba ake ndio alikuwa waziri katika serikali ya Marehemu Saidi Bare, miaka 45??? aje tz na familia yake? wakati huo?
 
Mfanyabiashara mwenye asili ya Somalia anayeishi jijini Dar Mohamed A. Nur, atangaza kugombea Urais katika uchaguzi ujao nchini Somalia.

Bw. Mohamed A. Nur ambaye anaishi jijini Dar ambaye ni MKurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya City Garden Groups.

Bw. Mohamed mwenye umri wa miaka 45 alikuja Tanzania akiwa na familia yake mwaka 1980, muda mfupi kabla ya nchi hiyo kuingia kwenye machafuko.

View attachment 352107
Fafanua, ipi hadhi ya ukaazi wake, ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali kama vile wengine kwenye chama tawala au mkaazi/ mfanyabiashara tu!

Hali hii Tanzania inaweza kunusurika na Al-Shabaab kweli?
 
Achunguzwe.. Iweje akae TZ kwa miaka 36, then apate uhalali wa kugombea urais...?
 
Kama ana akili na amekaa Tz ambao amani ndo wimbo wa Taifa tumtakie kheri aikomboe nchi yake
 
Ameingia Tanzania mwaka 1990....wakaanisha hoteli bagamoyo paradise na city gardens na viwanda morogoro na kigamboni! Pia wanaendesha ile conference center pale PPF Tower! Baba yake alikuwa waziri wa fedha utawala ule wa Siad Barre......huyu dogo amekuja Tz akitokea UK alipokuwa shule! Nimewahi enda sana Paradise nikamkuta huyu ni best wa JK.....anachokitafuta Somalia atakipata....na pia akileta sababu tuanze kupigwa kuwa tuna host.......sijui itakuwaje! Hawezi kwenda kule hajui yale mazingira wala hawezi ku survive!!! Sidhani!!labda....amejitoa mhanga kwa watu wa Somalia
 
Vizuri sana. Tuweke mtu wetu atawale Somalia, kama tulivyomuweka Museveni Uganda, Mugabe Zimbabwe, Samora Mozambique, Kabila DRC, n.k.
Umefaidika nini? Ukikutwa unaishi huko ima unarejeshwa au unafunguliwa mashtaka ya kuishi bila ya kibali na kufungwa
 
mbona husemi kwa kabila,museveni,kagame,samora,philepe nyusi,chissano nao waliishi Tanzania na wakawa marais.
Hawakuishi kwa miaka mingi hivi... Huyu Jamaa kaja tz na miaka 9. Hajui chochote juu ya Somalia, otherwise kuna agenda ya siri.

Hau uliowataja, walikuja kama freedom fighters , na kulikuwa na kambi rasmi kwa ajili yao, na walitambuliwa na serikali zetu. Huyu msomali nina hakika ni raia ya Tz na kura anashiriki kupiga. Anapata wapi haki ya kuwa raia wa somalia na kugombea uraisi, na alianza lini kujihusisha na siasa za Somalia
 
Back
Top Bottom