Mfanyabiashara Scuba azidi kutamba

Mkuu ni SHKUBA au SCUBA au SCABA au wote ni ndugu ?
 
AHAAAA HUYU NDIE ALIJIMILIKISHA ENEO LA KUZUNGUKA MSIKITI WA FERI PALE, JAMAA ANATISHA ANAIBA MPAKA MALI YA ALLAH. ATUMBULIWEEEE FISADIIII
 
Hawa ni waarabu waswahili wa Mafia
wako kigamboni mda mrefu wameanzia uvuvi...
OK, then si Nico.

Nikataka kusema hawa watoto wa Upanga vipi? Kwanza Jack Pemba, sasa Nico?

Nico is cool.
 
majungu sasa ndo mtaji
Ndipo tulipofikia watanzania kunyoosheana vidole. Simjui vizuri SCABA ila nimewahi shuhudia anavyotoa pesa yake kununua viwanja. Madalal wakipata viwanja tu wanampigia simu kwanza yeye. Nimewahi kuwahoji kwanini na wakakiri jamaa hana longolongo kwenye issue ya viwanja
 
aliepewa kapewa jamani tuache majungu na sisi tujikaze tupate maisha yetu hiyo yoote ni choyo
 
SCUBA SCABA!

Huyu jamaa naonaga mabango mengi Kigamboni yameandikwa hivyo.
Scuba Scuba jamaa ni mmoja ya vigogo wa kigamboni anafanya biashara za hardware,mbao na real estate.Anamiliki viwanja na mashamba mengi sana Kigamboni
 
Unanikumbusha Scaba Scuba Scaba Line!!! Hii habari ni kama imeandikwa na gazeti la UDAKU! Mwanzo nilidhani ni yule nguli wa madawa ya kulevya!!!
 
Huyo ni mtu wa sembe kitambo sana sintoshangaa kununua viwanja anatakatisha pesa kiaina.
 
Mi mpaka nimeona tabu kusoma yote nikajump kwenye comment.sijapatapo kuona uandishi wa kijinga kama huu!
 
Upumbavu uliopindukia mtu mwenye akili timamu atatishwa na picha au miss ya call rais kwa simu yako?kwanza hiyo nafasi ya kunitazamisha picha au simu yako unaipata wapi? Hanitishi wife wa rais ndio itakuwa wewe mdomo kunuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…