Mmiliki wa machame safari si alishafariki?Kule kilimanjaro nako mmiliki wa mabasi ya machame safari amejenga kituo cha mafuta kwenye shamba linalomikiwa na yatima wawili na mahakama imetoa hukumu kuwa eneo husika ni mali ya hao yatima. Wimbi la kuvsmia maeneo ya watu na kujenga vituo vya mafuta limeshamiri
Sio Arusha hii mzee, sidhani kama kuna sehemu wanauza ardhi bei kama Arusha.Huyo monaban kama kweli alijua eneo syo lake angekaa chini na mtoto ampooze
Amalizane nao,tatizo hawa matajiri ni wabahiri
Ova
Haaaaa Haaaaa 😂, Hatujabanana hapaIsijekuwa jirani yako anakaanga Popcorn karibu na Dirisha lako