Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,821
- 33,204
Kuna member alisema watu wamekuwa wanapewa silaha bila kujadiliwa na kamati za ulinzi na usalama za mikoa sasa naamini kweli kuna matumizi mabaya ya madarakaata hivyo Monaban anamlalamikia mpinzani wake William Taitas (Baraka) ambaye mahakama ilimpa ushindi kwamba hakufuata sheria ya kujitwalia eneo Hilo bila Oda ya mahakama Jambo lililomlazimu monaban kufyatua Risasi hewani ili kuwaondoa walinzi waliowekwa na baraka katika kituo hicho Cha mafuta.