Mfanyabiashara Monaban ashikiliwa na Polisi kisa ugomvi wa ardhi

Huyo monaban kama kweli alijua eneo syo lake angekaa chini na mtoto ampooze
Amalizane nao,tatizo hawa matajiri ni wabahiri

Ova
 
Kule kilimanjaro nako mmiliki wa mabasi ya machame safari amejenga kituo cha mafuta kwenye shamba linalomikiwa na yatima wawili na mahakama imetoa hukumu kuwa eneo husika ni mali ya hao yatima. Wimbi la kuvsmia maeneo ya watu na kujenga vituo vya mafuta limeshamiri
Mmiliki wa machame safari si alishafariki?
 
Huyo monaban kama kweli alijua eneo syo lake angekaa chini na mtoto ampooze
Amalizane nao,tatizo hawa matajiri ni wabahiri

Ova
Sio Arusha hii mzee, sidhani kama kuna sehemu wanauza ardhi bei kama Arusha.
wenyewe wanakuambia hii ardhi ni mafuta.
 
Back
Top Bottom