Mfanyabiashara mkubwa Arusha mbakaji Mkubwa

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Jamani jamani kwa aliyeona taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu ITV inasikitisha.Mtoto wa darasa la pili abakwa na mfanyabiashara mkubwa mjini Arusha tena mwenye asili ya kiasia cha kusikitisha amepewa dhamana ya sh milioni 2
 
hapo unakuta fedha imefanya kazi, au unaweza ambiwa kuwa huyo ni mwekezaji asisumbuliwe. Mi siyo mtaalamu wa sheria lakin sidhani kama kuna mzamana ktk makosa ya ubakaji au kulawiti.
 
nimeona imenisikitisha saana, bibi wa yule mtoto anasema mtoto kaharibiwa vibaya na alishazoea na akawa anawafuata mwenyewe jamani IMENIUMA SAAAANA. MUNGU ZITULIZE HASIRA ZANGU USIKU HUU
 
Wanaishi kwa kujitenga na kujiona bora sana. Muda pekee wanapokuja karibu nasi ni pale wanapobaka watoto wetu, kisha wanapewa dhamana fasta. Serikali poa! Haijali hata japo ushahidi wa awali unaonesha mtoto kaharibiwa vibaya.
 
Hii kwa kweli inasikitisha sana yaani dhamana ya milioni 2? yaani nahisi huyu mharibifu lazima watamwachia tu,Na hii ni kwasababu ya njaa zetu tu.
 
Wanasheria na mawakili wa kujitegemea mko wapi, mtusaidie kufungua kesi tupo pa1 nanyi, utatendea haki taifa na taaluma yako.
Tunaomba mjitokeze,
LUGAKINGIRA wa human rights mko wapi. Kwa walio karibu na iyo familia mwelekezeni, msaidieni kukutana na viongozi wakuu wa LUGAKINGIRA na TAMWA
 
Mi cjapata kuangalia hata taarifa ya hbr. Je? Ni kweli ni Kerai ama mnamfananisha. Mwenye kumjua vema a2juze ni Fakin gani huyo mwenye ku2haribia wene2. Pesa zao zinakuwa karaha kwe2 kbs c waende huko India wakafanye upumbavu yao huko. 2peni jina kamili.
 
Uzalendo wetu unapaswa kuonekana hapa sasa, wanasheria na wananchi tuungane ikibidi dhamana ifutwe mtuhumiwa arudi ndani
 
Mtoto wa darasa la pili si ana miaka tisa? Kuna haja ya serikali kuanzisha Peodophile or sex offender registration kwa ujumla, itasadia watu kama wanataka kuamia sehemu fulani.
 
Hao si ndo wanapiga picha na ****** kila siku ikulu.....basi kesi hamna hapo na hata akibaka wengine kumi hao polisi na mahakama watapotezea. I WISH I WAZ A SNIPER.
 
Akuna kesi kama mzawa wa juu aliposema
aapewa million 5 familia 2m ikaisha
 
Ubakaji siyo miongoni mwa makosa ambayo yanakataliwa dhamana Mahakamani. Makosa ambayo hayana dhamana ni kama vile uuaji, uhaini na unyang'anyi wa kutumia silaha.
 
Back
Top Bottom