GE2025 Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro

GE2025 Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu, Jimbo la Katoro mkoani Geita limeanza kupata sura mpya ya ushindani baada ya mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu Malando, kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea nafasi ya ubunge.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

 
Katoro wanagombea wafanyabiashara tu wengi wao wana hela
 
Back
Top Bottom