Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,946
Images!!
Shayo akiwa juu ya daraja.
Gari la Jeshi la Zima Moto likiwa eneo hilo.
Baadhi ya wananchi wakimshangaa Shayo (hayupo pichani).
Shayo akiwa anavutwa baada ya kumpa mkono ndugu yake.Akiwa anapelekwa Kituo cha Polisi cha Ubungo.
Katibu wa Chama cha Wafanyabiasha za Mezani katika maeneo ya Stendi ya Mkoa, Ubungo jijini Dar, John Shayo amekusanya umati baada ya kupanda juu kabisa ya daraja jipya lililopo eneo hilo na kutaka kujirusha, akihitaji Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda afike hapo kwani hakutendewa haki.
Tukio hilo lililovuta hisia za wengi lilijiri kwenye Daraja la Ubungo ambapo katibu huyo alitaka afe kwa kuwa anadai hajatendewa haki na alitaka Makonda afike amwelezee shida zake katika suala zima la ufanyaji biashara ndipo aweze kushuka la sivyo angejirusha.
Kundi kubwa la watu lilikusanyika eneo hilo huku polisi na gari lao la zima moto wakitanda wakimshangaa akiwa anazungukazunguka akisema yeye ni Mtanzania anahitaji haki ndipo walimsubiria alipokuwa akimpa mkono ndugu yake kama ishara ya kumuaga wakamvuta na kufanikiwa kumshusha.
Baada ya kushushwa, aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi kisha akapelekwa katika Kituo cha Polisi cha Ubungo ambapo wafanyabiashara wenzake walidai kwamba alikuwa na mgogoro na mwenzake waliyekuwa wanafanya biashara pamoja. Hata hivyo, hadi mwandishi wetu anaondoka kituoni hapo, jamaa huyo alikuwa akitoa maelezo.
chanzo. Stori/picha: Gladness Mallya/GPL
Unajua bwana sisi humu tunatumia simu ingawa wachache wanatumias web sasa usiwe unapost picha za fomart za ajab ajab sijui raw sijui cooked....jpg tu zinatosha hatuna mda wa kuchukua hizo picha kuzipeleka adobe photoshop ili tu tuzione

Huitwa kikosi cha zimamoto na uokozi! Si lazima uwe moto hata mtu akizama kikosi hiki huja kuokoaWalikwenda na gari la zima moto alikuwa na dalili za kulipuka
we unadhani kila matatizo yanatatuliwa kwa kufuata utaratibu! kufanya hivyo napo kuna express kiyu kumbuka yule aliyejichoma moto TunisiaHuyu alitakiwa baada ya kushushwa achapwe kwanza bakora za kutosha hapo hapo mbele ya kadamnasi. Ina maana kama ana madai yake ya msingi alishindwa kutumia utaratibu wa kawaida kama kwenda ofisini kwa huyo mkuu wa mkoa aliyemhitaji?