Mfanyabiashara Arusha kizimbani kwa kunajisi mwanawe

Mfanyabiashara Arusha kizimbani kwa kunajisi mwanawe

Ramli chonganishi. Waganga wabaya sana una raha kulalia fedha wakati mtoto wako mdogo unamthalilisha kiasi hicho si bora tu umuue?
Hawa wachaga hasa warombo na wakibosho kama huyo ndio zao.

Pesa za kishirikina hizo.
 
Hadi nacomment Mimi wachangiaji wengi hawajui maana ya kunajisi. Mtoa mada embu eleza kama huyo mtoto ni wa kike ama wa kiume;
Je, alifirwaa?
Alilawitiwa?
Alito.mbwa?
Hakuna kuficha neno, hakuna neno Kali duniani.
 
Wakati mwingine unaweza kuta kuna ugomvi kati ya huyo mshtakiwa na mkewe, akaamua amtengenezee kesi.
 
Achinjwe tu huyo mtu maana amesha kufanya. .....
 
Hadi nacomment Mimi wachangiaji wengi hawajui maana ya kunajisi. Mtoa mada embu eleza kama huyo mtoto ni wa kike ama wa kiume;
Je, alifirwaa?
Alilawitiwa?
Alito.mbwa?
Hakuna kuficha neno, hakuna neno Kali duniani.
Huyo ni mtoto wa kike ambae yupo chini ya miaka ya kuingiliwa kidini na kidunia, mtoto wa kiume analawitiwa kwa kupunguza ukali wa maneno.
Liwat: kuingilia kinyume na maumbile.
Nawaomba mchango wenu kwa wale wanaojua lugha ya kiarabu, alwatan maana yake nn? Maana majuto analitumia sana "Mimi ndo alwatan."
 
Back
Top Bottom