Kwahiyo unakubari kuwa ni kweli ulikuwa umechanganyiwa!!- ha! ha! ha! mkuu more swaggaz, I mean nilipoanzisha tawi la CCM nikiwa ng'ambo si mlisema nimechanganyikiwa, sasa na huku tena vipi? ha! ha! ha! sasa unataka nirudi kule nikachanganyikiwe zaidi? ha! ha1 ha!
William.
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.
- Huu ndio mfano wa kuigwa na chama chochote cha siasa iwe hapa au Duniani popote pale, hope CCM will take a note here, kwamba zamani Mwalimu Nyerere alifanya haya ya kufikisha chama kwa wananchi kwa kuanzia na watoto, tukiwa watoto tulicheza halaiki, tulicheza Chipukizi, tukiwa Sekondari tulicheza halaiki, and then tulienda JKT!
- Siku hizi ni kila mtu na lwake, ujitahidi mwenyewe tu ufike juu hamna matayarisho no wonder tunakuwa na viongozi wasiowakamilifu na itikadi tena wengi sana!

Pumbaaafuuu!
Hawa watoto hawana madarasa,hawana madawati,hawana vitabu vya kiada,hawana sare nzuri na wengi wao hapa watakuwa wako pekupeku! Sasa unapoenda kuwalaghai kuwa CCM ni chama bora eti kinawajali watoto ni UHUNI wa hali ya juu. CCM mmeshindwa na sera zenu mbovu za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi(MMEM)na Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari(MMES).
Watoto wanabanana madarasani na wanakaa chini halafu unawadanganya kuwa CCM chama cha Mafisadi ni kizuri kweli?
Mtoto anamaliza elimu ya Msingi na anachaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari ilhali HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA!
Hebu CCM badilikeni muache huu utapeli wa mchana kweupe.
- kule us jeshi la amerika hupeleka matoi ya kijeshi kwenye shule za chekeckea kuwatayrisha na vita mbele ya safari, unafikiri us wanaingia vita kwa bahati mbaya, hapana ni national interest, huwa inaazia kwenye watoto!
William.
- Kule US Jeshi la Amerika hupeleka matoi ya kijeshi kwenye shule za chekeckea kuwatayrisha na vita mbele ya safari, unafikiri US wanaingia vita kwa bahati mbaya, hapana ni national interest, huwa inaazia kwenye watoto!

William ukiangalia picha ya thread yako na maudhui unayotaka kutupatia sisi great thinkers yanatia shaka imani yetu kwako kama unaweza kuwa kiongozi bora wa sasa na baadaye. Jaribu kutoa thread zenye maono ya kulikomboa taifa letu.- ha! ha! ha! bro huku bongo hizi zinaitwa swagazzz!, I mean a normal perosn like you kuja kujadili na abnormal inajisema yenyewe kama wewe ni what? ha! ha! ha!
William.
Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.
- Huu ndio mfano wa kuigwa na chama chochote cha siasa iwe hapa au Duniani popote pale, hope CCM will take a note here, kwamba zamani Mwalimu Nyerere alifanya haya ya kufikisha chama kwa wananchi kwa kuanzia na watoto, tukiwa watoto tulicheza halaiki, tulicheza Chipukizi, tukiwa Sekondari tulicheza halaiki, and then tulienda JKT!
- Siku hizi ni kila mtu na lwake, ujitahidi mwenyewe tu ufike juu hamna matayarisho no wonder tunakuwa na viongozi wasiowakamilifu na itikadi tena wengi sana!
William.
Wewe ndo uliyekua mgomea wa bunge la Afika mashariki?Kamanda James Mwakibinga, kada wa CCM akiwa na watoto wadogo huko Kawe, hii ndio moja ya njia muhimu sana ya kuimarisha chama chochote cha siasa, ni kuanzia kwa watoto wadogo.