Majibu mengi yaliyotolewa ni kipimo tosha cha mambo yafuatayo;
1. Mind set ya watu wengi ilipo.
2. Migogoro ya kifamilia hasa kaka mkubwa anapoonekana kuitenga familia yao (hasa wadogo zake).
3. Kupungua kwa ujaribu na kujaliana hata kwa ndugu wa damu.