huyu ni wa kupita nae tu hata kaka akiwepo,dua yangu ni kuwa boss wa kaka azidi kumweka kaka bize kwa safari za kikazi zinazochosha hata akirudi asiweze kuuchosha mzigo.
swala la ngono hekima uwekwa pembeni ndio maana vihoja vya walimu wa madrassa na mapastor haviishi mtaani.
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.