Video hiyo iliyoongozwa na Mhando Brian imetabiriwa kufungwa isichezwe kwenye vituo vya television vya Kenya kwa kuzingatia kilichotokea kwa wimbo wa Sauti Sol, Nishike.
Mfalme wa Mapenzi inawezekana imeenda nje ya maadili hata zaidi ya video ya wimbo wa Nishike wa Sauti Sol kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa hadi kuifungia hiyo Nishike.
Mfalme wa Mapenzi inawezekana imeenda nje ya maadili hata zaidi ya video ya wimbo wa Nishike wa Sauti Sol kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa hadi kuifungia hiyo Nishike.
Sanaipei anaonesha jinsi ambavyo anaweza kupata faraja ya moyo kutoka kwa mwanaume anaejua wapi pa kushika na nini cha kufanya wanapokuwa faragha.
Source: Mpekuziblog