Pamoja na wadau wengine wote naomba mnisaidie kuchambua maana halisi au nini ilikuwa nia ya mtunzi mahiri wa nyimbo za taarab nchini Mzee Yusuph katika wimbo wake mpya usemao " Ikisimama panda ".
Nitawashukuru kwa uchambuzi wenu wa kina kuhusiana maudhui halisi ya wimbo huo na kwanini alichagua maneno hayo. Hakika ikisimama lazima uipande tu.