Wakuu heshima zenu,
Nimemfatilia vizuri mh SITA akiponda uamuzi wa Wazanzibar kutaka kuwa na nchi yao kamili kwa kila kitu. Katika hilo amezungumzia ikiwa wamefanikiwa halafu wakaenda kuchapisha hela yao na kwenye picha akawa kuna mfalme mwenye madevu. Mi nadhani hapa kwa fasihi kuna kuna jambo limejificha.
Sina mengi nadhani mmenielewa