Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,548
Picha imetuliaView attachment 511989
HABARI KATIKA PICHA
Kiongozi wa Serikali ya Papua New Guinea, Boka Kondra akihufuatilia kwa makini mijadala alipokuwa anahudhuria moja ya vikao vya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
Boka Kondra ni mwakilishi wa watu jamii ya Ngalum, Uropkulin na Kasipka na koo za Milima ya nyota na Koteka.
Pia, Boka Kondra amepata kuwa Mbunge na Waziri wa Utalii kwa muda mrefu.
Hiyo ni BOXERSijaelewa nyeti yake kaificha kwenye pembe ama?
Ahahahaaaaaaa umenifanya niokane chizi kwa kichekoHiyo ni BOXER
Nahisi comment yako imemnyong'onyeza san mleta uzi.Mana katoa picha na maelezo mengiiiii....kisha we umecomment kiuchache tu"sawa mkuu"sawa mkuu
Hahaha usijali mkuu vitu vingine vya kawaida sanaNahisi comment yako imemnyong'onyeza san mleta uzi.Mana katoa picha na maelezo mengiiiii....kisha we umecomment kiuchache tu"sawa mkuu"
View attachment 511989
HABARI KATIKA PICHA
Kiongozi wa Serikali ya Papua New Guinea, Boka Kondra akihufuatilia kwa makini mijadala alipokuwa anahudhuria moja ya vikao vya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
Boka Kondra ni mwakilishi wa watu jamii ya Ngalum, Uropkulin na Kasipka na koo za Milima ya nyota na Koteka.
Pia, Boka Kondra amepata kuwa Mbunge na Waziri wa Utalii kwa muda mrefu.
Sijaelewa nyeti yake kaificha kwenye pembe ama?
Asijamb3 tu