Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )


12. Wakati tumekaririshwa kwamba Maji ni smell-less, Tembo ana uwezo wa kusmell harufu ya Maji hata kwa Umbali wa Km 20!
 
Tembo ana uwezo mkubwa wa Memory, anakumbuka sehemu zote alizowahi kutembelea na njia pia!
 
Vipi kuhusu Tembo kujisaidia haja kubwa?
Naona wote mmepasahau wakati methali yenyewe huwa inasema usiige tembo kujisaidia haja kubwa.....
 
Kuna uzushi mwingi kuhusu uoga wa Tembo.... kiukweli Tembo adui yake mkubwa ni Nyuki tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…