Mfahamu the Green Mamba

kuna vinyoka vidogo vya kijani naviona sana huku pwani kwenye minazi na miarubaini usidhani ndiye green mamba..... green mamba ukitaka kumjua vizuri nenda moshi vijijini kule halafu tembelea mito ya huko uonane na nyoka mshenzi na mjanja sana green mamba.y
 
Nimekulia migombani , kijijini , kwenye mianzi wanapatikana sanna, karibu na huko mtoni, nimevua samaki sana Majani ya ng'ombe nimefyela sana, Mipera, Miembe nimekwea sna so nachokizungumza nina uhakika nacho na nimefanya mkuu
 

Usipende kubisha tu mkuu, Tafiti kidogo hata Google

The eastern green mamba (Dendroaspis angusticeps) is a highly venomous snake species of the mamba genus Dendroaspis native to the coastal regions of southern East Africa. It was first described by a Scottish surgeon and zoologist Andrew Smith in 1849. The species has a slender build with bright green upperparts and yellow-green underparts. The adult female averages around 2.0 metres (6.6 ft) in length, and male is slightly smaller.
 
Ngole ni was kijani pia, lakini sio mkali na hukaa jirani na makazi ya watu. Kuna hata misemo ya kijadi Pwani, wakisema "ngole" humaanisha mtu rafiki au asiye na madhara.
Ngole ni yupi mkuu, sio huyu!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…