Mfahamu the Green Mamba

Ndo huyohuyo huwa ni mpole na hapendi kubishana na binadamu huwa anakimbia ila akizidiwa akapata upenyo akakugonga msalie mtume

Huwa tunaambiwa sumu yake haina dawa. Kama ndiye basi tumekuwa tunamwonea sana huyu nyoka.
 
Huwa tunaambiwa sumu yake haina dawa. Kama ndiye basi tumekuwa tunamwonea sana huyu nyoka.

Sumu ina dawa ila muda wa kupata matibabu ndo shida, maana dk 24-48 uwe umefika hospitali tena yenye dawa, ndo msala ulipo.Ila ni nyoka wapole sana wao mda mwingi humkimbia binadamu, na wawapo juu ya mti ukiwa chini na hasa kama una radio inapiga mziki ndo kwaanza haondoki na mwisho akichoka anadondoka na kusepa, ujue nyoka hupanda juu ya mti ila hashuki bali hujiachia na kudondoka. Hawa nyoka green mamba kwa kusema ukweli ni waoga sana mi niliwahi kumshika mkia nikiwa namwagilia ukoka kwenye maua, aliteleza na kukimbia, mikoa mingi iliyolima kahawa walikufa sana baada ya sumu kumpigwa kwenye mikahawa hasa Diasnon,DDT nk.
 
Hivi bibo ni nini?
 
Kabila letu hamuamini kuwa ukipishana huyu nyoka ukiwa unaenda safari. Yan akikatiza mbele ya njia unayopita, safari yako inakuwa ya mafanikio.
Huyu nyoka kwa imani za kwetu haturuhusiwi kumwua. Na sijashuhudia MTU yeyote kagongwa na huyo nyoka. Ni mpole sana. Hana ugomvi tofauti na huyo black mamba/ koboko,aka mzee wa bifu.
 
Mtoa mada yuko sahihi,pamoja na upole huyo nyoka anasumu kali sana. Ni vile tu hapendi kuuma Mara kwa Mara .hadi pale anapohisi hatari
 
Mkuu green mamba wameniuma mara kibao sijawahi pata effect na pia sijawahi kwenda hosp, nimehangaika nao sana hao wadudu, labda nilikuwa nang'atwa na local green mambas siyo intaneshino
Mtoa mada yuko sahihi,pamoja na upole huyo nyoka anasumu kali sana. Ni vile tu hapendi kuuma Mara kwa Mara .hadi pale anapohisi hatari
 
hawa wadudu hawana shida ila kuna mmoja nilikutana nae maeneo fulan hiv juu.ya matofali.. kila nikirusha jiwe... namkosa.. sas akawa anatafuta ni nani anayemzingua..

akawa anasimama wima.. kila nikirusha jiwe namkosa kosa anazidi kusimama wima... mpaka akabakiza sehem ndogo ya mkia ikawa ndio balance kwake.. akawa ana hang.. kishoto..kulia.. ili atrack adui wake... aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…