Mfahamu samaki pomboo (Dolphin)

Mkuu wanaakili kuliko wanachama wa chama flan hivi. Huyu anaweza akamzidi akili hata prof aliehamia ofisini kwake baada ya kuisusia ofisi hiyo kwa mbwembwe
 
Kiasili napenda mno wanyama,yani mnooo!nikiwaona hua najisikia vizuri sana.pomboo Ana sifa nzuri Sana.
 
Ila nashangaa papa anaweza kuwa na jeuri gani ya kusogea awapo huyo. Maana huyo Pomboo ni mkubwa mno, ni mnyama wa pili kwa ukubwa baharini.

Pia si jamii zote za Pomboo ni wa kucheza na binadamu, yupo ambaye anaitwa Orca(Killer Whale) huyo sijawahi kusikia yupo karibu na binadamu, zaidi ya wale wachache waliyolelewa na kufunzwa.

Tena ndiye mbabe baharini kote, hakuna wa kumsumbua... Papa mwenyewe akijua eneo fulani kuna Orca, hata kama wapo kundi watatawanyika wenyewe.

Papa akiingia muziki wa Orca, anashikwa na kubinuliwa kisha anatikiswa hadi alegee. Akiachiwa basi kinachofuata, maini yake yanaliwa.

Orca hadi baadhi ya specie za Nyangumi anashambulia, baharini kote hakuna wa kumzingua. Ndiyo kiumbe ambaye inaaminika hakuna wa kumuwinda bahari nzima, bali huwinda yeye samaki na viumbe wengine wa baharini.
 
Pomboo hawezi kuwa wa pili kwa ukubwa baharini....kuna species za whales ni giants si mchezo. Blue whales, hump back whales, grey whales, sperm whales n.k hizi species tu dolphin anazidiwa ukubwa mara nyingi sana.

Pili killer whales (Orcas) hawali wala kuwadhuru binadamu. Wao wana hunt prey wengine lakini hawa attack binadamu.
Attacks chache sana zimetokea za killer whales kuwadhuru binadamu, na zote ni za wale orcas wanaowekwa vizuizini kwa ajili ya maonesho kwa watazamaji. Lakini huko baharini Orcas are always friendly to men.
 
Ni kweli ila orca sio dolphin ni jamii ya whales so unakosea unaposema sio dolphin wote au pomboo wote ni friendly,huyu orca ni killar whale
 
So siyo samaki
 
Ni kweli ila orca sio dolphin ni jamii ya whales so unakosea unaposema sio dolphin wote au pomboo wote ni friendly,huyu orca ni killar whale
Orca ni dolphin na ndiyo mkubwa kuliko wote anaitwa Killer Whale kutokana na tabia yake ya kushambulia baadhi ya nyangumi na kuwaua
 
Pomboo kuna watu kawapita akili, ukitaka kuamin hilo nenda sasa hiv jukwaa la wakubwa
Watu wanasifia vya kukojolea
 
Orca ni namba mbili kwa viumbe wa jamii ya mamalia baada ya Blue Whale, anafuata yeye kwa ukubwa... Anashika namba tatu tu ukijumuisha wote, akipitwa na Whale Shark pekee ambaye ni samaki mkubwa duniani.

Hakuna specie ya Nyangumi inayompita, ukiondoa Blue Whale pekee. Ndiyo maana anawala Nyangumi wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pomboo kuna watu kawapita akili, ukitaka kuamin hilo nenda sasa hiv jukwaa la wakubwa
Watu wanasifia na kukojolea
 
Orca hawafikii ukubwa wa species za nyangumi za humpback whale, sperm whale n grey whales...jaribu kuzigoogle ujionee.
Wewe utakuwa huwajui vizuri nyangumi na species zake....Orca anazidiwa na zaidi ya species kumi za nyangumi kwa ukubwa.


Pitia hapo kwenye link ujionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…