Mfahamu ndege Tai na tabia zake

To honest nimeipenda hiyo story na implication yake. Hata wadada waliowengi ukimtaka basi hutupima sana na si ajabu akwambie ununue pedi umpelekee kwake ili tu aone upendo wako ukoje, nimeipenda
 
mtaalamu wetu tukimaliza na Tai naomba utuletee story ya ndege anaeitwa "FUNDI CHUMA" naisubiri kwa hamu maana anaendana na hali halisi tuliopo....
 
mtaalamu wetu tukimaliza na Tai naomba utuletee story ya ndege anaeitwa "FUNDI CHUMA" naisubiri kwa hamu maana anaendana na hali halisi tuliopo....

Sifa kuu ya huyu ndege fundi Chuma ambaye mara nyingi anahusishwa na 'Imani' ni kuwa ukikikuta kiota chake ukakibomoa basi jua kabisa Moja ya majanga kama una nyumba basi lazima ibomoke.
 
Sifa kuu ya huyu ndege fundi Chuma ambaye mara nyingi anahusishwa na 'Imani' ni kuwa ukikikuta kiota chake ukakibomoa basi jua kabisa Moja ya majanga kama una nyumba basi lazima ibomoke.
hah hah ha sasa itakuwa vyema tupate historia yake kwa undani halafu tu reflect na Taifa letu au mtu mmoja mmoja😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…