Mfahamu mnyama muhanga(aardvark)

Mnyika kajitoa MHANGA kwa hotoba mujarafu mbele ya JPM kimara!!
 
Wanyama jamii. Ya Nguruwe hana huyo Muhanga na Ngiri ni majasiri sana
 
Kama vile nimewahi kumuona kweny movie ya chuck norris
 

endeleeza kutupatia dondoo kama hizi kwa wanyama wengine na ndege.. jf wangeweka jukwaa la wanyamaa tukajifunza huko.
asante kwa udadavuzi huu muruwa.
 
Mkuu huyu mnyama manyara yupo tushapishana naye sana mida ya saa tano usiku na saa sita ndo mida yake ,Tanzania yupo ila kibembe kumwona ukitembea arusha na manyara utaona mashimo yake ,anapochimba shimo akisikia kitu kinakuja hawezi kusubiri lazima akimbie .

Sema kule akikamatwa anatumika sana kwa mambo ya uganga na ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…