Mfahamu mnyama ISHA

Hawa viumbe walitutesa sana kipindi cha shule ya Msingi. Yaani tunawawinda kuanzia sa4 asubuhi ni kukimbizana tu hadi jioni na hatuwapati tunaishia kuua Makenge tu daah.
🤣🤣🤣🤣🤣 nyie mlidhani ni kuku hao??? Kinachoweza kumkimbiza kikampata huyo ni Simba,Chui,Duma ama risasi!
 
Urefu=Isha mkubwa hufikia urefu wa sentimita 70 hadi 95.

Kimo= kimo cha isha hufikia sentimita 45 hadi 60.


Uzito= wanyama hawa huwa na uzito wa kilogramu 7 hadi 16.
Rekebisha hivyo vipimo vinaweza kuwa haviko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…