Mfahamu mnyama ISHA

Niliwahi kukuona Zambia kwenye ukumbi mmoja ivi maarufu sana jina limenitoka, nikivutio kizuri sana
Ukumbi huo una sanamu ya picha Za marais wastaafu,Mwalimu Nyerere,Mzee Kaunda .
 
ndio digdig au ?
 
Hawa mkuu si wanaliwa km swala wengine waliwavyo????
 
Anaitwa ISHA katika kiswahili....Nsha ni kilugha.
Mkuu unaongelea nsha? Uapoongelea Isha unaongelea jina la mtu.
Tena wengine ni brand name kabisa...Isha Mashauzi....nk nk.
 
Hapana digidigi ni jamii ya swala pia ni mkubwa kama mbuzi wakati hawa kina Isha ni wadogo..nitamleta tumjue nayeye.
Umechanganya mkuu, digi digi(dik dik) ndio mdogo 3kgs to 4.5kgs wakati Duker au isha kama unavyowaita wanafika hadi 16kgs
 
Hapana digidigi ni jamii ya swala pia ni mkubwa kama mbuzi wakati hawa kina Isha ni wadogo..nitamleta tumjue nayeye.

Dik-dik ni mdogo kwa swala na mbuzi pia...


Fast facts
Status Least Concern

Size Head-body: 63cm; shoulder height: 40cm

Weight 9kg

Gestation166-174 days

Young 1

Life span Up to 17 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…