Akiwaachia wengine pia na yeye atadrop.
Sababu kwa watu wasio fuatilia mitandao ya kijamii wamemfahamu kupitia Clouds FM Hivyo akiacha na yeye atakuwa na pengo kubwa kwenye kujibrand.
Millard Ayo ameoa na ana watoto wawili kwa sasa.
Ana mke mzungu sema hua hataki kuweka mahusiano yake kistaa yeye na mke wake wanakaa maisha yasiyo ya show off