mutabilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 305
- 80
Habari wana JF, Kwa mara nyingine napenda tumchambue mgombea mwenza wa Mhe: Edward Ngoyai Lowasa. Imekwisha fahamika kuwa Mhe: Edward Lowassa waziri mkuu mstahafu a.k.a aliyejiuzuru (ingawa alijiuzuru sijui kwa sababu gani,itabidi kwy kampeni au mdahalo atueleze vzr tumuelewe) ndiye kiongozi pekee anayepigiwa chapuo kupeperusha bendera ya watu wengi wa kijani-CCM (ingawa sijui hata wale inzi wa kijani wa chooni nao ni Inzi-CCM ""siwatukani wana CCM ila ni watani zangu tu , utani nimzuri kukuza afya ya akiri, naomba msijisikie vibaya"").
Namleta kwenu na kumtambulisha ndugu Amani Abeid Karume kama mgombea mwenza wa Mhe: Edward Lowasa, Usishangae sana mwana JF juu ya mgombea huyu mwenza. Taarifa zilizopo ni kuwa Mhe: Lowassa amekwishafanya mazungumzo na Mhe: Rais mstaaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume miezi michache iliyopita wakati wa sherehe za mapinduzi. Kwa upande wa UKAWA bado mambo hayajaiva, yakiiva nitawajulisha
Kwa walaka huu wana Jf napenda tuzungumzie sasa juu ya nafasi ya mgombea mwenza wa rais na hasa tujikite katika nafasi hii nyeti kwani huyo pia huwa Rais kwa nyakati ambazo Rais halali hayupo nchini, Tuzingatie pia vigezo vifuatavyo kwa kuanza na mgombea huyu mwenza wa CCM:
1. Makamu wa rais wa sasa na waliopita na utendaji kazi wao
2. Misingi ya Uteuzi na sifa za wagombea wenza
3. Unyeti na umuhimu wa nafasi hii katika uongozi wa nchi yetu kwa sasa.
4. Je Katiba yetu inasemaje juu ya wastaafu kurudi uongozini?
Nawasilisha.