Paspii0
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 638
- 1,038
Papa Leo wa XIV
(Kardinali Robert Francis Prevost, O.S.A.)
Mkuu wa Dikasteri ya Maaskofu, mwenye umri wa miaka 69, mzaliwa wa Marekani).
Utumishi wake katika Kanisa.
Elimu
Majukumu na Uteuzi.
Uanachama katika Mabaraza ya Kiapapa
Habemus novum Papam. Et notus erit ut Papa Leo XIV, oriundus ex Civitatibus Foederatis Americae, cui nomen verum est Cardinalis Robertus Franciscus Prevost.
- Fasili na mwanenu Chavalikungu 😛
(Kardinali Robert Francis Prevost, O.S.A.)
Mkuu wa Dikasteri ya Maaskofu, mwenye umri wa miaka 69, mzaliwa wa Marekani).
Utumishi wake katika Kanisa.
- Alipadrishwa; 19 June 1982.
- Alitawazwa kuwa Askofu; 12 Desemba 2014.
- Aliteuliwa kuwa Kardinali; 30 Septemba 2023
Elimu
- 1977 ; Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Hisabati kutoka chuo Kikuu cha Villanova
- 1982;Shahada ya Umahiri ya Dini kutoka Catholic Theological Union, Chicago
- 1984;Leseni ya Sheria za Kanisa kutoka Chuo Kikuu cha Kipapa cha Mtakatifu Thoma wa Akwino (Angelicum), Roma
- 1987; Shahada ya Uzamivu ya Sheria za Kanisa kutoka chuo hicho hicho
Majukumu na Uteuzi.
- 1985–1986; Misionari huko Chulucanas, Peru
- 1988 - 1998; Majukumu mbalimbali Trujillo, Peru, ikiwa ni pamoja na kuwa mkuu wa jumuiya, mkurugenzi wa malezi, na profesa
- 1999 - 2001; Mkuu wa Mkoa wa Shirika la Mtakatifu Augustino (Chicago)
- 2001–2013; Mkuu Mkuu wa Shirika la Mtakatifu Augustino (muda wa vipindi viwili)
- 2014–2015; Msimamizi wa Kitume wa Jimbo la Chiclayo, Peru
- 2015–2023; Askofu wa Jimbo la Chiclayo, Peru
- 2023–sasa; Mkuu wa Dikasteri ya Maaskofu
- 2023– sasa Rais wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini
Uanachama katika Mabaraza ya Kiapapa
- Dikasteri ya Makleri
- Dikasteri ya Uinjilishaji
- Dikasteri ya Mafundisho ya Imani
- Dikasteri ya Makanisa ya Mashariki
- Dikasteri ya Mashirika ya Maisha ya Wakfu
- Dikasteri ya Utamaduni na Elimu
- Dikasteri ya Maandishi ya Sheria
- 2023 ;Tume ya Utawala wa Jiji la Vatikani
Habemus novum Papam. Et notus erit ut Papa Leo XIV, oriundus ex Civitatibus Foederatis Americae, cui nomen verum est Cardinalis Robertus Franciscus Prevost.
- Fasili na mwanenu Chavalikungu 😛