Thewildlife_tz
Senior Member
- Apr 23, 2019
- 127
- 85
- Thread starter
-
- #21
Kuna chuo kimoja walifanya huu utafiti wakagundua na huyu anaiga mpaka sauti ya injini , anakohoa , na anaiga mpka sauti ya wanyama kama mbwa.. wanasema anauwezo kama ule dolphin na sokwe.. na ndio mana huyu kiumbe ni msumbufu sanaaNimeiona mkuu ahsantee
Ila sidhani kama uwezo wake umempita kasuku kwa kukariri labda tuseme kwenye uwiano wa sauti yake unashabihiana kwa nyingi kidogo na binadamu kuliko wa kasuku
Naam tafuta " michezo ya cirque du Sahel ..ujionee balaaYaah hapo nakubaliana na wewe kabisaa na binadamu ndio kiumbe hatari zaidii.. Uwezo mkubwa sana
Naam tafuta " michezo ya cirque du Sahel ..ujionee balaa
PamojaNgojaa niitafute mkuu.. shukranii
Mimi ni mhanga wa hawa viumbe nawajua fika lakini ni Aina ile nyengine ndogo wale weusi wasio na baka wa darKuna chuo kimoja walifanya huu utafiti wakagundua na huyu anaiga mpaka sauti ya injini , anakohoa , na anaiga mpka sauti ya wanyama kama mbwa.. wanasema anauwezo kama ule dolphin na sokwe.. na ndio mana huyu kiumbe ni msumbufu sanaa
Ha ha daah polee sana huwa wanaakili na wanajua kwamba nani adui yao.. asante kwa kushare exprience..Mimi ni mhanga wa hawa viumbe nawajua fika lakini ni Aina ile nyengine ndogo wale weusi wasio na baka wa dar
Nakumbuka nikiwa mdogo nikiwa sijui ni nini kimetangulia kutokea katika njia niliyokuwa napita nilishtushwa na makofi ya hawa viumbe
Kumbe kuna watoto watundu waliangua viota vyao na kuua makinda yao..! viumbe wakachuki..hasira zao wakawa wanamalizia kwa wapita njia hasa watoto
Ajabu walikuwa wanabagua akipita mkubwa hawana neno nae ila apite mtoto wanakuja Kama wote wanakupiga na mbawa zao_salama yako ilikuwa uvizie mkubwa anapita na wewe ndio upite_kwa ufupi siku hiyo walifunga mtaa
Ila sijawahi sahau ile minyuko ya mbawa zao ni hatari sana
Bisha kwa facts... mkuu.. leta details..HAJAFIKIA HATA ROBO KWA KASUKU..... tusidanganyane kama watoto.......
Hivyo vipimo ulivyoweka ni sawa?
kasuku anakariri maneno mengi sana na siyo hiyo hi na kukohowa. Kasuku anaomgea kabisa mfano anakuambia shikamoo, mambo vipi tena kwa sauti za aina tofauti, kasuku mmoja anaweza kujiuliza kama baba akajijibu kama mama na akaongea tena kama mtoto hapohapo..... SASA HUYO KUNGURU ANAKOHOWA HAPO NA KUSEMA HI UNAKUJA KUMLINGANISHA NA KASUKU??? NIMEJARIBU KUWEKA VIDEO YA KASUKU TENA WA KITANZANIA ANAONGEA KISWAHILI NIMESHINDWA..... huwezi linganisha kunguru na kasuku hata siku moja, ni sawa na kulinganisha mbwa na simba.Bisha kwa facts... mkuu.. leta details..
kasuku anakariri maneno mengi sana na siyo hiyo hi na kukohowa. Kasuku anaomgea kabisa mfano anakuambia shikamoo, mambo vipi tena kwa sauti za aina tofauti, kasuku mmoja anaweza kujiuliza kama baba akajijibu kama mama na akaongea tena kama mtoto hapohapo..... SASA HUYO KUNGURU ANAKOHOWA HAPO NA KUSEMA HI UNAKUJA KUMLINGANISHA NA KASUKU??? NIMEJARIBU KUWEKA VIDEO YA KASUKU TENA WA KITANZANIA ANAONGEA KISWAHILI NIMESHINDWA..... huwezi linganisha kunguru na kasuku hata siku moja, ni sawa na kulinganisha mbwa na simba.
kasuku anakariri maneno mengi sana na siyo hiyo hi na kukohowa. Kasuku anaomgea kabisa mfano anakuambia shikamoo, mambo vipi tena kwa sauti za aina tofauti, kasuku mmoja anaweza kujiuliza kama baba akajijibu kama mama na akaongea tena kama mtoto hapohapo..... SASA HUYO KUNGURU ANAKOHOWA HAPO NA KUSEMA HI UNAKUJA KUMLINGANISHA NA KASUKU??? NIMEJARIBU KUWEKA VIDEO YA KASUKU TENA WA KITANZANIA ANAONGEA KISWAHILI NIMESHINDWA..... huwezi linganisha kunguru na kasuku hata siku moja, ni sawa na kulinganisha mbwa na simba.
Pia wana tabia ya ajabu hao mfano pale kwangu kuna njiwa bc wao huwa wanachinja makinda ya njiwa na huondoka na vichwa vyao
Amazing nikipata muda nitamfuga ili anipe info muhimu ni mzuri ukimtua kwa intelligent issue