Mfahamu Jangala Pengo Mapera

Mfahamu Jangala Pengo Mapera

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8,774
Reaction score
26,210
Jangala Pengo Mapera kutokana na tabia yake 'mbaya' ya kupenda kuanzisha ugomvi baada ya kunywa 'Pombe', basi hiyo tabia yake ndo iliyompelekea kupoteza meno yake.

Hili ndio tukio lililomfanya kupoteza meno yake.
1479714192908.jpg

Hapa akiwa kijana.
1479714236889.jpg

Hapa akiwa mzee, kwa sasa ana umri wa miaka 57.
1479714270094.jpg
Jangala Pengo Makande anatuasa kuwa "tupende kutabasamu kila wakati, maana uhai hauji mara mbili"(keep smiling) na tuzidi KUMUOMBEA ili asirudie tena kunywa POMBE
 
Inabidi tumalizie yaliyobaki.........
Embu tumpe mda, ila kama atarudia kunywa Pombe tena na kuacha milango ya nyumba yake bila kuiwekea Makufuli basi haina budi kuyamalizia meno yote
 
huwa anaropoka sana,nadhani yale mapengo yanapitisha maneno bila kujua.
Mimi nadhani mapengo ndo yanayomsababishia kuwa mropokaji vile.
Maana sisi wenye meno hatuna tabia zile
 
Huu uzi unachekesha
Ila Jangala kasema keep smiling hata kama unamapengo.
 
Huu uzi unachekesha
Ila Jangala kasema keep smiling hata kama unamapengo.
[emoji53] Na hili ndo lengo kuu hasa la thread, maana huwezi huwezi kutabasamu bila ya kuwana Upendo.
[emoji33] Hivyo anatutaka tupendane
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji41] sijakuelewa mkuu, una maana gani kusema hivyo?
ukiwabana watu kwa wasipite kulia watapita kushoto hiyo ndio maana au ukiwazuia watu wasipite wkt wa mwanga watapita wkt wa giza!
 
Back
Top Bottom