Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,839 Reaction score 7,924 Nov 30, 2021 #21 kifinga said: watu walikua wanampenda sera zake zilikua nzuri kule wenzetu heshima ni umeifanyia nini nchi sio kujinufaisha ndio mana unakuta rais anatembea mtaani hana hata walinzi kwasababu watu wanampenda na unaweza kumchallange kwa hoja mkaongea Click to expand... Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese
kifinga said: watu walikua wanampenda sera zake zilikua nzuri kule wenzetu heshima ni umeifanyia nini nchi sio kujinufaisha ndio mana unakuta rais anatembea mtaani hana hata walinzi kwasababu watu wanampenda na unaweza kumchallange kwa hoja mkaongea Click to expand... Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,880 Reaction score 7,023 Nov 30, 2021 #22 Muuza viatu said: Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese Click to expand... Hahaaa
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Nov 30, 2021 #23 ulaya huwa hawastaafu? manake wakisikia wa afrika anataka kutawala zaidi ya miaka kumi wanakosa usingizi, wanabweka kila mahali
ulaya huwa hawastaafu? manake wakisikia wa afrika anataka kutawala zaidi ya miaka kumi wanakosa usingizi, wanabweka kila mahali
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,412 Nov 30, 2021 Thread starter #24 Utingo said: ulaya huwa hawastaafu? manake wakisikia wa afrika anataka kutawala zaidi ya miaka kumi wanakosa usingizi, wanabweka kila mahali Click to expand... Hao watu hua hawapendi sisi tutanye vitu vinavyo waumiza vichwa.
Utingo said: ulaya huwa hawastaafu? manake wakisikia wa afrika anataka kutawala zaidi ya miaka kumi wanakosa usingizi, wanabweka kila mahali Click to expand... Hao watu hua hawapendi sisi tutanye vitu vinavyo waumiza vichwa.
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,577 Dec 1, 2021 #25 Muuza viatu said: Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese Click to expand... ulinzi anao ila sio wa mbwembwe kama kwetu huku hata nyumba yake anakaa mtaani tu kama upanga pale na wananchi wengine na kwake panajulikana
Muuza viatu said: Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese Click to expand... ulinzi anao ila sio wa mbwembwe kama kwetu huku hata nyumba yake anakaa mtaani tu kama upanga pale na wananchi wengine na kwake panajulikana
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,826 Dec 10, 2021 #26 Muuza viatu said: Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese Click to expand... Hahahaaa au wa Bahiroad shimo la ndizi
Muuza viatu said: Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese Click to expand... Hahahaaa au wa Bahiroad shimo la ndizi