Mfahamu Anastazia Muro Mama anayekamua Lita 40 za Maziwa yake mwenyewe

Wanawake.wanaojitambua ndio hao sio mwanamke kaolewa.lakini bado anataka kuwa msichana anahangaiaka na mawigi ma make up badala ya kubadilisha frequency gafla na kumuwazia mume wake , watoto na uwekezaji zaidi ya kuuabudu mwili wake
 
Hawa lawyers wana mambo sana. Ndio maana kwenye mitaa wanaitana learned fellows. Wana kazi sio ndogo
 
Back
Top Bottom