Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Haa reallyYote hii ni kumfurahisha Mkulu
ni mtu aliepewa mamlaka na Magufuli, mnataka muwe waelewa wa nini?Alie mfunga ni Magufuli? Tuwen waelewa
Ndiyo, aliyemfunga ni Magufuli. Mbwa akimng'ata mtu, wa kuwajibishwa ni mwenye mbwa. Kumbuka DC huyo kilaza hakuchaguliwa na wananchi!Alie mfunga ni Magufuli? Tuwen waelewa
Tutafika kdogo tu badoTuwe na UMOJA,tudumishe amani,Tz ni kisiwa cha amani!
Kwa mtindo huu??!!!