Meya wa Ubungo baada ya kutoka selo amesema yupo huru na hana mashitaka yoyote

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Akiongea na waandishi wa habari Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniphace Jacob amesema kwamba ameachiwa huru kabisa bila masharti yoyote na kwamba alivyokamatwa ilikuwa ni siasa tu.

80ce6007b86106b585f6b66fb5de8469.jpg


Nilikamatwa na polisi baada ya viongozi mbalimbali toka chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kunitembelea katika ofisi zangu na hili agizo la kuniweka polisi lilitolewa na mkuu wa wilaya ya Ubungo na sijui kosa lilikuwa ni nini hasa. Alisema Meya wa Ubungo Mh Jacob.

"Kama kuna mwanaChadema anayesubiri kufanya siasa kwa huruma ya CCM basi aache siasa, maana itakuwa ni sawa na kumwomba Shekh akuchinjie nguruwe ili usile nyama haramu"

Nukuu ya Meya wa Ubungo
Source: AyoTv
 
Halafu kuna watu wasio na Akili wanashangalia eti awamu hii tumepata Rais mkombozi wa wananchi wakati hatendi haki namna hii.
 
Kupotezeana muda huku. Siku ingine watu watakataakutii hizi amri. Sasa si uwafungulie wewe mashtaka ya kukupotezea muda wako na kuharibu jkna lako.
 
Akipewa mamlaka na Magufuli hata akaroga ni kosa la Magufuli? Hzo ni personal characters tusiwe na uelewa mdogo
 
Nchi hii bana. Yaani mtu mmoja anaweza akaamua tu ukamatwe. Two or three days later unaachiwa "bila masharti" na eti huna kosa la kupelekwa mahakamani. Seriously? Sijui kwa nini wale snipers wa Kibiti wanashambulia mere villagers badala ya kudeal na mijitu kama hii.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom