Meya Songoro aongoza operesheni vunja madanguro, makahaba 24 wakamatwa. Danguro 150 zavunjwa Mwananyamala

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,125
Meya wa Manispaa mh Songoro sambamba na Hii elnino ameendesha Operesheni kubwa ya kubomoa madunguro kule Mwananyamala

Madanguro 150 yamevunjwa na Malaya 24 walikamatwa na kuachiwa Muda kitambo baadae

Meya Songoro amesema Operesheni hiyo ni endelevu hadi Makahaba wote watakapotokomezwa Manispaa ya Kinondoni

Hata hivyo baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo hasa Wakaanga chips wamesema Wadangaji ndio Wateja wao wakubwa na wamemtaka Songoro asitishe Operesheni yake waliyoiita Uchwara

ITV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma > Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?
 
Ok
 
Attachments

  • IMG-20231101-WA0026.jpg
    IMG-20231101-WA0026.jpg
    48.3 KB · Views: 7
Sasa wakale wapi gaweni chakula cha msaada, madanguro 150 wahusika 24 msitufanye hamnazo
 
Sasa wakale wapi gaweni chakula cha msaada, madanguro 150 wahusika 24 msitufanye hamnazo
 
Ni hatua nzuri.

Ukiangalia mazingira ya madanguro, ni hatalishi
Wauzaji wenyewe, ni hatalishi
Unapata picha, hata wanunuzi nao ni hatalishi.
Kama wewe ni muuzaji au mmnunuzi,
Vyema ukajua wewe ni maskini wa mwili, akili, imani na hutakaa ukatoka kwenye mnyororo huo
 
Wengine ndio sehemu zetu za kuponea huko. Kwa elfu 3 tu unapata utelezi, huombwi hela ya bando la mwezi, huombwi kodi, huombi pesa ya kusukia, huombwi umuongezee pesa akanunue simu mpya, sijui nani nani anaolewa kuna sare.. Yaani ni elfu tatu yako tu, baasi. Ukiwa na elfu 10 unapiga goli 3 na chenji inabaki.
😂🤣
 
Ni hatua nzuri.

Ukiangalia mazingira ya madanguro, ni hatalishi
Wauzaji wenyewe, ni hatalishi
Unapata picha, hata wanunuzi nao ni hatalishi.
Kama wewe ni muuzaji au mmnunuzi,
Vyema ukajua wewe ni maskini wa mwili, akili, imani na hutakaa ukatoka kwenye mnyororo huo
Wewe unaona kuvunja makazi kutamaliza umalaya? Au kama sio kuwatia umasikini wamiliki wa hizo nyumba,

Mitaa ya azikiwe vile vibabu vilinzi vinakodisha mabox kwa dadapoa vinawatandikia kwenye ngazi, wateja wakubwa ni wadosi, nako wakabomoe basi
 
wampeleke mahakamani at
Meya wa Manispaa mh Songoro sambamba na Hii elnino ameendesha Operesheni kubwa ya kubomoa madunguro kule Mwananyamala

Madanguro 150 yamevunjwa na Malaya 24 walikamatwa na kuachiwa Muda kitambo baadae

Meya Songoro amesema Operesheni hiyo ni endelevu hadi Makahaba wote watakapotokomezwa Manispaa ya Kinondoni

Hata hivyo baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo hasa Wakaanga chips wamesema Wadangaji ndio Wateja wao wakubwa na wamemtaka Songoro asitishe Operesheni yake waliyoiita Uchwara

ITV

View attachment 2802148
Jumaa Mubarak 😀

Pia soma > Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?
Wampeleke mahakamani mpuuzi mkubwa kwa kuvunja nyumba zao. Ana ushahidi gani kuwa ni danguro?
 
Back
Top Bottom