Meya Jerry Silaa kweli hulijui hili....?

Meya Jerry Silaa kweli hulijui hili....?

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
547
Reaction score
183
inashangazasana tena sana ..jiji la dar es salaam kuwa chafu ama niseme linaongoza kwauchafu...bila shaka wakazi wa hapa mnashuhudia mitaa ilivo michafu na tabia yasasa ambayo ni sugu ya baadhi ya watu kukusanya uchafu kwenye mifuko nakuitelekeza barabarani na kwenye milango ya watu..
kazi ya meya ni kusimamia jiji kuwa safi na manispaa anayoiongoza...hilihusimamiwa na wenyeviti wa mitaa lakini hapa kwetu tanzania hawa viongozi wamitaa na vitongoji ni kama huwa hawako kwani wengi wao hawajui majukumu yao..

wamekuwa wakichaguliwa tuu...lakini hawaoni wala hawajui wanatakiwa kufanyanini...halafu chama kinatumia uwingi wa viongozi wa serikali za mitaa kuonyeshakuwa wanaungwa mkono na wananchi "ndiyo...!" lakini unaweza kukuta nimawe ndiyo yamechaguliwa...

sasa huyu meya wa dar es salaam ni nini kazi yake kwani amekuwa akionekanamjini katika sehemu maarufu..akitanua tuu huku mazingira yanayomzunguka yakiwayameoza....

jamani sasa tufanyaje kwa hili...?
hebu tusaidiane..kwa michango mbalimbali...labda atakumbuka kazi yake.....

Kweli umenena tumekua tukimlalamikia kuhusiana na usafi katika machinjio ya ng'ombe ukonga mazizini sehemu ambayo asilimia 70 ya wakaazi wa jiji wanakula nyama kutokea hapo,lakini wapi,hali ni mbaya ni pachafu kupindukia, yaani na mvua hizi hakutamaniki
 
hata mimi kwa kweli nashangaa sana. jana nimesoma kwenye mtandao, kulingana na utafiti wa Forbes, Dar inashika nafasi ya 12 katika majiji machafu duniani. hebu fikiria, nafasi ya 12. siyo ya 70 ama 120! hapo ndipo unaanza kujiuliza uhalali wa vijana kukabidhiwa mamlaka muhimu kama hiyo ya umeya. Inadhihilisha wazi kabisa mtu kama Jerry Slaa hajui majukumu yake kabisa, huku kutwa nzima anashinda kuuza sura kwenye Michuzi blog na kuandaa mabango ya kujisifia, eti " his worshipness mayor ". nashindwa kumuelewa kabisa huyu kijana mwenzetu.
 
Pole Sana, Heading yako Myeya ni nini na Jrrry una maan ya Jerri? pls clarify before i come for further actions
 
jerry ni wa ilala tu na sio dar nzima msai....kidogo ana vission ukilinganisha na waliobaki
 
Mkuu wangu chama uko wapi njoo huku utoe ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Any way nahisi hayo ndo' maisha bora kwa kila mtanzania aliyo tuahidi JK, Ijapokuwa uhalisia unaonyesha kauli hii imebadilishwa kimya kimya na kuwa "maisha bora kwa kila mtanzania aliye karibu na Jeikei".
 
Wewe mwemyewe una usafi kiasi gani?
 
Silaa ni meya wa Ilala. Meya wa Jiji la DSM ni Dr. Masaburi
 
ameweza maliza lile tatizo la shombo pale feri huyu jamaa ni kidume wacheni tu ilikuwa ni kero iliyopindukia shombo mpaka ikulu kha
 
huo ni umbumbu wa baadhi ya viongozi kushindwa kujua nini cha kufanya na wakati gani? wanachofikiria wao ni posho na nani anatoa rushwa nyingi ukitaka kujua angalia m2 anaye pewa tenda ya taka hananyenzo ila anashinda tenda unategemea wa2 kama hao ambao hawana sifa wanaweza kufanya jiji likawa safi?
 
Wewe mwemyewe una usafi kiasi gani?
Wacha upumbavu Mbulula wewe, Jerry Silaa ni Kilaza mpumbavu mkubwa kabisa, kazi kujishauwa kwenye mabango na kuuza sura kwenye blog kwa kutumia mwamvuli wa Umeya wakati kazi imeshamshinda pimbi kabisa huyu.
 
ameweza maliza lile tatizo la shombo pale feri huyu jamaa ni kidume wacheni tu ilikuwa ni kero iliyopindukia shombo mpaka ikulu kha
Kumbe ilikuwa ni kero ya Ikulu na siyo kero za Wananchi!! kwahiyo hilo ni agizo la Mkwele hana credit yoyote katika hilo, jaribu tena kuja kumpamba kwa lingine.
 
Wacha upumbavu Mbulula wewe, Jerry Silaa ni Kilaza mpumbavu mkubwa kabisa, kazi kujishauwa kwenye mabango na kuuza sura kwenye blog kwa kutumia mwamvuli wa Umeya wakati kazi imeshamshinda pimbi kabisa huyu.

Du haya bana, kumbe ni hizo picha za kwenye mabango ndio zinakutoa roho. Usijali na wewe zamu yako itafika tu.
 
hao mameya hawajui wajibu wao, bt niseme udhaifu wa wakubwa wao ndo unaopelekea hayo. Na kama jana ulifuatilia newz ITv jana utakuwa uliona mfuniko wa mtaro wa maji machafu ukimwaga vinyesi pale kariakoo. Hasa km viongozi wanajali walishndwaje kutengeneza? Na tulisikia kuwa wananch waliwapgia cm idara ya maji lakini walifika na hawakufanya kitu chochote. Hawana lolote na ht hvyo vyeo mi naona km vinamaliza pesa ya kodi zetu.
 
Kumbe ilikuwa ni kero ya Ikulu na siyo kero za Wananchi!! kwahiyo hilo ni agizo la Mkwele hana credit yoyote katika hilo, jaribu tena kuja kumpamba kwa lingine.

sijasema ni agizo la ------ ila ilikuwa ni aibu mpaka huko unasikia m aharufu nasikia kuna siku alikuj atembelea eneo hilo akajisikilizia arufu ndio akaanza mkakati wakuimaliza kweli imeisha kabisa
 
sijasema ni agizo la ------ ila ilikuwa ni aibu mpaka huko unasikia m aharufu nasikia kuna siku alikuj atembelea eneo hilo akajisikilizia arufu ndio akaanza mkakati wakuimaliza kweli imeisha kabisa
Kwa hisani ya Ikulu, powered by Mkwele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom