Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda


Muda mwingine mnajivua nguo na kuonesha ukilaaaza wenu kuliko hata huo wa Bashite. Uhalali wa kufanya kazi katika ofisi ya umma unamuhusu nini mteule wa Rais? Duh, jamani kweli uelewa mzuri. Pamoja na Pasco kuwapa elimu bado tuu? Kama hata utumishi wa umma haufahamu mambo mengine utayafahamu kweli wewe?
 
Kisu cha moto kwenye mfupa
Hakuna aliyetwaa utukufu wa Mungu akabaki salama.
 
Kwa hiyo ukiww mteuliwa wa rais hahitaji kuwa na vyeti orijinal,huku anao waongoza ndio wawe na vyeti,kwa kweli SSM inaharibu sana hii nchi
 

uko sahihi sana mkuu

ila yule dada, yule paul mayenga wangeonekana na kuhojiwa hauoni haina haja hata ya kupiga kelele?

system haiwezi kujidhalilisha mkuu, unless haujui mkuu wa mkoa anapatikana vipi
 
WEE KAMA JAMAA KAHARIBU BIASHARA YAKO SEMA TU, USITULETEE POROJO ZA HILI NA LILE !
 
Kwa hiyo unasema je ?!
Vyeo vya kuteuliwa si utumishi ktk ofisi za umma ?!
Na uhakiki huo uliowaacha watu vibaya na mpaka leo ajira zimesimama uliwahusu kina nani ?!

Mbona kina Kihiyo ulikuwa ni vya kisiasa lakini waliwajibishwa tena na mahakama ?

Makonda athibitishe kuwa yeye si Bashite kwenye vyeti vake
 
Ndugu zangu bakizeni Maneno Jaman, huyu ndugu naye ni mwanandamu, muoneeni huruma. Imetosha sasa!
 
Muwe munamsoma Pasco kwa umakini sana. Kama mwanahabari jamaa hupenda kuchokoza mada na wachokoza mada hupenda kulalia pande fulani.
 
Hii iliniumaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…