Mexime mhurumie Phiri

Mexime mhurumie Phiri

Wamrudishe Logarusic haraka, lasivyo simba inaweza kushuka daraja...

Noo.. Wanatakiwa warudi kwa Wambura na kumtaka radhi kwa kumdhalilisha na kumfukuza Simba.. Huyu Aveva & co watakoma.. Mpira wa kibongo ni vichekesho ful.. Kila nyanja imeharibika..
 
Tumempa mechi tatu si ya mtibwa pekee na hili ni la kawaida as coaches are hired for victory and not draws....firing is the worse scenarios

Mkuu mbona Kaburu makamu mwenyekiti yuko kimya? Hans pope hajachaguliwa na wanachama lakini amekuwa mtendajni na msemaji wa timu kuliko hata Aveva...I smell something ktk uongozi wa simba
 
Viherehere hasa kwa watoto wa kiume huwa mwisho wake unakuwa Anti.Mbona hamtuambii kilichojiri Kaitaba jana?Habari zinazozungumziwa ni mmepigwa Katerero moja katikati ya makalio mkaanza vurugu wachezaji na mashabiki.Chezea katerero lazima urushe vichwa muulize Canavaro wa maboksi.
 
Back
Top Bottom