Mexico yaigonga Brazil na Kutwaa Gold kwenye Olimpiki

Mexico yaigonga Brazil na Kutwaa Gold kwenye Olimpiki

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,625
Full time...Mexico 2 Brazil 1.

Gold medal katika soccer imekwenda Mexico na Brazil inaendelea kuwa Soccer Giant ambae hajatwaa gold medal katika soccer kwenye michezo ya olimpiki.
 
Game haikuwa Nzuri ila Mexico haki yao kuchukua GOLD. Brazil walitakiwa kijana Lucas Moura wamuanzishe au angalau dk za 70 angewekwa kwenye mpambano au pengine fundi wao alivyoona 1-0 alifikiri watarudi 1-1 then extra time au ndio dk alizomuweka Lucas moura ndio aingie ila Football mpira kwenye Olympic ndio inavyotokea.
 
Doh nilijua hawa Madogo(akina Neymar na wenzake) wangeweza kuutafuna mfupa uliomshinda Fisi kumbe wapi....pole zao
 
Ndugu yangu Pele unajidhalilisha kwenda kuangalia brazil ya sasa ambayo haina kichwa wala miguu.
 
Hii Brazil ya sasa sio ile tunayoijua, hii ubinafsi umekuwa mwingi, acha watandikwe labda watajifunza!!
 
Enzi ya Brazil kuwa tishio katika soka naona inazidi kupunga mkono....
 
Kusema ukweli japokua mi ni huge fan wa brazil football and the way they play bt i was happy that mexico won... Kila wakati brazil or spain inaboa.. There times i prefer an underdog kama vile mexico on this occasion
 
Back
Top Bottom