Mexico gun attack on children's party in Tizayuca kills 11

Mexico gun attack on children's party in Tizayuca kills 11

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
_96925770_7efde792-1c7d-45e3-ad85-0be89fecb5c7.jpg

MEXICO: Watu 11 wamepigwa risasi na watu waliokuwa wameficha nyuso zao kwenye sherehe ya watoto katika mji mmoja wa Mexico uitwao Tizayuca.

Polisi wamesema kuwa wamewapata watoto watatu wakiwa hai. Nchi ya Mexico imeripotiwa kuwa ni moja ya nchi zinazoongoza kwa mauaji baina ya makundi ya kuuza dawa za kulevya ambapo tarkibani vifo 2,186 vimerekodiwa ndani ya siku 70.

=====

Masked men burst into a children's birthday party in the Mexican city of Tizayuca in central Hidalgo state, killing 11.

Police said they had found three children alive at the scene but all 11 adults at the party had been shot dead. It had taken place in a tent set up by the host outside their home in a residential area of the city.

Mexico has recently seen a surge in violence linked to disputes between drug cartels. In May alone, 2,186 killings were recorded - approximately 70 a day.

A recent trend has seen hit men murdering whole families, including children.
 
Hizi drug cartels zinanguvu sana, naona wamexico wameshindwa kabisa kuzidhibiti
 
Back
Top Bottom