Unachokosea ni kwamba unacopy na kupest huleti kitu original kilichoandaliwa na wewe hapa Kuna maswali tukikuuliza utashindwa kujibu..unatujazia server za jf tu.hicho ulichoandika ukiingia Google unakikuta Kama kilivyo.wenzako wanaandikaga sehem walizofika ili hate wakiulizwa maswali wanajibu

Wengine hata kukopi na kupesti hatujui!
Hata huko gugo unaposema ndio hatupajui kabisa na mbaya ZAIDI hatujawahi kuwaza hata kutoka nje ya bongoland!
So wewe Kama unapajua na hautaki kukopi na kupesti anzisha uzi wako!
Na sisi tuache na uzi wetu tuendelee kutembelea Latin America kwa fikra kupitia mataalam wetu!